Swali: Ni kipi bora wakati mtu anapokuwa na muda mrefu afanye Dhikr, Tasbiyh, Tahliyl au asome Qur-aan?
Jibu: Yote ni mazuri. Mara afanye hili na mara afanye lile. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) mara alikuwa anafanya hili na mara alikuwa anafanya lile. Yote ni matendo mazuri na ni mema. Afanye kile kinachomfurahisha na kumchangamsha.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22157/ما-الافضل-عمله-في-وقت-الفراغ-الطويل
- Imechapishwa: 29/10/2022
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)