Mtoto kumuoa dada yake mke wa baba

Swali: Je, inafaa kwa mvulana kumuoa dada wa mama yake wa kambo?

Jibu: Dada wa mama yake wa kambo sio mama yake mdogo.

Muulizaji: Hapana.

Jibu: Hapana vibaya. Baba anaweza kumuoa mwanamke huyu na mtoto akamuoa dada yake huyo mwanamke. Hapana vibaya muda wa kuwa ni wanawake hao ni dada.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22161/حكم-زواج-الرجل-باخت-زوجة-ابيه
  • Imechapishwa: 29/10/2022