Swali: Mavazi ya mazoezi sio katika mavazi ya makafiri?

Jibu: Haijuzu kujifananisha na makafiri:

“Yeyote mwenye kujifananisha na watu basi yeye ni katika wao.”

Ni lazima kubadilisha mavazi kwa njia ya kwamba yasifanane na mavazi ya makafiri. Ni mamoja katika mambo ya michezo, mashindano au mambo mengine.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22151/هل-الملابس-الرياضية-من-زي-الكفار
  • Imechapishwa: 29/10/2022