Hariri ya bandia kwa wanamme

Swali: Ni ipi hukumu baadhi ya vitambaa vinavyotengenezwa kwa hariri ya bandia na si ya asili?

Jibu: Salama zaidi ni kuwaachia vitambaa hivyo wanawake. Kwa sababu vinafanana na hariri.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22149/حكم-الاقمشة-المصنوعة-من-الحرير-الصناعي
  • Imechapishwa: 29/10/2022