Dhamana kwa daktari ambaye mgonjwa amekufa mikononi mwake?

Swali: Ikiwa daktari ni bingwa na mgonjwa akafa wakati wa operesheni?

Jibu: Haidhuru, hana dhambi. Hakuna dhamana ikiwa ni katika anatambulika kuwa ni katika watu wenye fani hiyo. Habebi dhamana.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24064/هل-يضمن-الطبيب-موت-مريض-في-العملية
  • Imechapishwa: 22/08/2024