Namna ya kuharibu na kusambaratisha uchawi

Swali: Mtu anaweza kudhurika kwa kuugua akijaribu kutengua baadhi ya uchawi. Je, ni vyema kuuzika au ni lazima kuuzika?

Jibu: Kinachodhihiri ni kwamba ni lazima kuuharibu ili uharibike. Uharibiwe. Ikiwa kuna mafundo yaharibiwe. Ikiwa ni kitu kilichounganishwa pamoja kiharibiwe kisha kichomwe moto ili kusibaki athari yake.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24068/ما-كيفية-ابطال-السحر-بعد-العثور-عليه
  • Imechapishwa: 22/08/2024