Anayepiga chuku wakati wa matabano anatoka katika wale 70.000?

Swali: Akifanya matabano wakati mtu anapohitajia anaondokewa na yale masharti ya wale watu 70.000?

Jibu: Udhahiri ni kwamba hapana vibaya, kwa sababu Mtume (Swalla Allâhu ´alayhi wa sallam) ameamrisha. Lakini vyema mtu ni kuacha kufanya hivo asipohitajia.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24059/هل-يخرج-من-السبعين-الفا-من-استرقى-للحاجة
  • Imechapishwa: 22/08/2024