Swali: Mimi ni mara yangu ya kwanza ninakaa katika darsa hizi zilizobarikiwa. Kwa kweli nataka kukaa kwenye darsa na kutafuta elimu lakini sina kazi iwezayo kunihudumia isipokuwa kazi kati ya Maghrib na ´Ishaa. Je, nitanguliza masomo au riziki?
Jibu: Ikiwa huna kitu tafuta riziki ili usiwe na haja ya kuwaomba watu. Riziki unayoihitajia ndio yenye kutangulizwa.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (12) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/msrf–16041434.mp3
- Imechapishwa: 24/09/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)