Swali: Kuna damu yenye kubaki kwenye nyama baada ya kuchinjwa. Ni najisi?
Jibu: Hapana. Haidhuru. Ni yenye kusamehewa. Damu yenye kubaki katika nyama inaliwa na haidhuru. Ni yenye kusamehewa. Damu ilio ya haramu ni ile yenye kuchuruzika kutoka kwenye mishipa ya koo wakati wa kuchinja. Damu kama hii ndio najisi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340204.mp3
- Imechapishwa: 25/08/2020
Swali: Kuna damu yenye kubaki kwenye nyama baada ya kuchinjwa. Ni najisi?
Jibu: Hapana. Haidhuru. Ni yenye kusamehewa. Damu yenye kubaki katika nyama inaliwa na haidhuru. Ni yenye kusamehewa. Damu ilio ya haramu ni ile yenye kuchuruzika kutoka kwenye mishipa ya koo wakati wa kuchinja. Damu kama hii ndio najisi.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340204.mp3
Imechapishwa: 25/08/2020
https://firqatunnajia.com/damu-yenye-kubaki-kwenye-nyama/