Swali: Ni ipi kauli ilio na nguvu kuhusu damu inayomtoka mwenye ujauzito? Je, inahesabika ni damu ya hedhi inayomzuia kuswali na kufunga?
Jibu: Mwanamke mwenye ujauzito hapati hedhi. Mimba hujulikana kwa hedhi kukatika. Akitokwa na damu hiyo sio hedhi bali ni damu safi ambayo hatakiwi kuacha swalah kwa ajili yake.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (39) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-2-10.mp3
- Imechapishwa: 20/08/2020
Swali: Ni ipi kauli ilio na nguvu kuhusu damu inayomtoka mwenye ujauzito? Je, inahesabika ni damu ya hedhi inayomzuia kuswali na kufunga?
Jibu: Mwanamke mwenye ujauzito hapati hedhi. Mimba hujulikana kwa hedhi kukatika. Akitokwa na damu hiyo sio hedhi bali ni damu safi ambayo hatakiwi kuacha swalah kwa ajili yake.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (39) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-2-10.mp3
Imechapishwa: 20/08/2020
https://firqatunnajia.com/damu-inayomtoka-mjamzito-sio-hedhi/