Daima anawaombea wazazi na anamwombea Shaykh


Swali: Kila wakati ninapokuwa katika Sujuud nawoambea du´aa wazazi wangu na pia namuombea du´aa Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (Rahimahu Allaah). Je, kitendo chake kimesuniwa?

Jibu: Ndio, ni kizuri. Baada ya kujiombea mwenyewe na wazazi wake amwombee yule anayemtaka.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (105) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/20-03-1441-H-%20igah.mp3
  • Imechapishwa: 15/11/2020