”Dada yangu kwa ajili ya Allaah”

562 – Nilimuuliza Shaykh kuhusu mume anayemwambia mkewe “Ee dada yangu”?

Jibu: Ni bora kuepuka maneno hayo, bali aseme: “Dada yangu kwa ajili ya Allaah”, kama alivyosema Ibraahiym kwa mkewe Saarah: “Wewe ni dada yangu”, akiwa na maana ni dada yake kwa ajili ya Allaah.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 194
  • Imechapishwa: 12/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´