Swali: Watu wengi wanapinga na kusema kwamba hawakukusudia hivo?
Jibu: Haijalishi kitu. Ajipambe kwa adabu za kidini hata kama hakukusudia. Ajilazimishe adabu za kidini. Ni lazima kwake ajichunge na matamshi yasiyotakikana kama ambavo anachunga viungo vyake.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23959/حكم-ما-شاء-الله-وفلان-دون-قصد-الشرك
- Imechapishwa: 03/08/2024
Swali: Watu wengi wanapinga na kusema kwamba hawakukusudia hivo?
Jibu: Haijalishi kitu. Ajipambe kwa adabu za kidini hata kama hakukusudia. Ajilazimishe adabu za kidini. Ni lazima kwake ajichunge na matamshi yasiyotakikana kama ambavo anachunga viungo vyake.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23959/حكم-ما-شاء-الله-وفلان-دون-قصد-الشرك
Imechapishwa: 03/08/2024
https://firqatunnajia.com/chunga-matamshi-ya-kidini/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)