Anakufuru anayeapa kwa asiyekuwa Allaah?

Swali: Je, anatoka katika Uislamu yule anayeapa kwa asiyekuwa Allaah?

Jibu: Hapana. Analazimika kutubia na hatoki katika Uislamu. Ni shirki ndogo.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23958/هل-يخرج-من-الملة-من-حلف-بغير-الله
  • Imechapishwa: 03/08/2024