Swali: Je, inafaa kula chakula halali kilichopikwa na mshirikina au budha?
Jibu: Hapana vibaya. Haidhuru. Lakini haitakikani kuwatumia wafanya kazi makafiri katika kisiwa cha kiarabu. Haitakikani kuwatumia kama wafanya kazi au watumishi. Kwa sababu Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliamrisha kuwafukuza katika kisiwa cha kiarabu. Nje yake jambo ni jepesi.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22952/https://binbaz.org.sa/fatwas/22952/
- Imechapishwa: 22/09/2023