Swali: Bora ni kuswali swalah inayopendeza ya baaada ya ijumaa nyumbani?

Jibu: Bora kuiswali nyumbani. Ambaye ataiswali msikitini hapana vibaya. Lakini bora ni kuswali Rak´ah nne kama ilivyo katika Hadiyth:

“Mwenye kutaka kuswali baada ya ijumaa basi aswali baada yake [Rak´ah] nne.”

Akiswali nyuma ni sawa na akiswali msikitini ni sawa pia. Nyumbani ndio bora zaidi. Mwenye kuswali msikitini ni sawa pia. Jambo ni lenye wasaa.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22539/هل-تودى-سنة-الجمعة-البعدية-في-البيت
  • Imechapishwa: 17/06/2023