Swali: Je, swalah ya ijumaa inatosheleza kwa wanawake?
Jibu: Akiihudhuria ataiswali ijumaa. Vinginevyo ataiswali nyumbani hali ya kuwa Dhuhr. Wanawake hawana swalah ya ijumaa. Lakini wakihudhuria swalah ya ijumaa inasihi. Wasipohudhuria wataiswali hali ya kuwa ni Dhuhr Rak´ah nne majumbani mwao. Ni kama mfano wa mgonjwa anatakiwa kuswali Dhuhr nyumbani. Mwanamke pia ataiswali Dhuhr nyumbani. Kuiswali nyumbani ndio bora:
“Majumba yao ndio bora kwao.”
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23493/هل-تجزى-الجمعة-عن-الظهر-للمراة
- Imechapishwa: 28/01/2024
Swali: Je, swalah ya ijumaa inatosheleza kwa wanawake?
Jibu: Akiihudhuria ataiswali ijumaa. Vinginevyo ataiswali nyumbani hali ya kuwa Dhuhr. Wanawake hawana swalah ya ijumaa. Lakini wakihudhuria swalah ya ijumaa inasihi. Wasipohudhuria wataiswali hali ya kuwa ni Dhuhr Rak´ah nne majumbani mwao. Ni kama mfano wa mgonjwa anatakiwa kuswali Dhuhr nyumbani. Mwanamke pia ataiswali Dhuhr nyumbani. Kuiswali nyumbani ndio bora:
“Majumba yao ndio bora kwao.”
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23493/هل-تجزى-الجمعة-عن-الظهر-للمراة
Imechapishwa: 28/01/2024
https://firqatunnajia.com/bora-kwa-mwanamke-ni-kuswali-ijumaa-nyumbani/