Bora kwa mwanamke mwenye hedhi kutawadha kabla ya kulala

Swali 100: Je, atawadhe mwanamke mwenye hedhi anapotaka kulala?

Jibu: Ndio, kama mtu mwenye janaba kwa sababu wote wanayo hadathi kubwa, ingawa kuna tofauti kati yao kwa kuwa hadathi ya hedhi hudumu kwa muda mrefu[1].

[1] Imesemekana pia kuwa haikusuniwa kwake kufanya hivo, kwa sababu hadathi yake ni yenye kudumu. Isitoshe jambo hilo halikunakiliwa, jambo ambalo ndio sahihi zaidi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 59
  • Imechapishwa: 15/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´