Swali: Je, ni lazima kwa baba kumzuia binti mdogo kuolewa mpaka pale ambapo binti mkubwa ataolewa?
Jibu: Haijuzu kwa baba kumzuia binti mdogo kuolewa ikiwa kuna mtu ambaye kamchumbia kwa sababu tu binti mkubwa hajaolewa. Hili ni katika mila za wajinga ambazo zinakosa mashiko katika Shari´ah. Wanafikiria kuwa hili linamdhuru yule mkubwa ikiwa yule mdogo ataolewa kabla yake. Ikiwa ni hivyo kweli, basi hili linamdhuru vilevile hata yule binti mdogo – na kanuni inasema:
“Madhara hayaondolewi kwa madhara mengine.”
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Muntaqaa (3/152)
- Imechapishwa: 20/09/2020
Swali: Je, ni lazima kwa baba kumzuia binti mdogo kuolewa mpaka pale ambapo binti mkubwa ataolewa?
Jibu: Haijuzu kwa baba kumzuia binti mdogo kuolewa ikiwa kuna mtu ambaye kamchumbia kwa sababu tu binti mkubwa hajaolewa. Hili ni katika mila za wajinga ambazo zinakosa mashiko katika Shari´ah. Wanafikiria kuwa hili linamdhuru yule mkubwa ikiwa yule mdogo ataolewa kabla yake. Ikiwa ni hivyo kweli, basi hili linamdhuru vilevile hata yule binti mdogo – na kanuni inasema:
“Madhara hayaondolewi kwa madhara mengine.”
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Muntaqaa (3/152)
Imechapishwa: 20/09/2020
https://firqatunnajia.com/binti-mdogo-hatakiwi-kuolewa-kabla-ya-yule-binti-mkubwa-kuolewa/