Bid´ah kuswali Dhuhaa kila siku?

Swali: Vipi kuhusu mwenye kusema kuwa ni Bid´ah kuswali Dhuhaa kila siku?

Jibu: Hakuna yeyote anayesema hivo. Lakini wako wanaosema kuwa kuiacha baadhi ya nyakati ndio bora kwa sababu Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) hakuiswali kila siku. Hata hivyo (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ameweka Shari´ah ya kuiswali daima na akasisitiza hilo kwa maneno yake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22597/حكم-القول-ببدعية-المواظبة-على-الضحى
  • Imechapishwa: 08/07/2023