Swali: Je, inafaa kufanya biashara ya samaki wa urembo kwenye tanki lake?
Jibu: Hakuna neno. Wakiwa ndani ya tanki lake na wanaweza kuangaliwa, hakuna neno. Tatizo ni pale ambapo biashara itakuwa yenye madhara na isiyotambulika. Ama wakiwa wamedhibitiwa na wako mahali ambapo wanaweza kuangaliwa, basi haina neno.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (27)
- Imechapishwa: 17/04/2021
Swali: Je, inafaa kufanya biashara ya samaki wa urembo kwenye tanki lake?
Jibu: Hakuna neno. Wakiwa ndani ya tanki lake na wanaweza kuangaliwa, hakuna neno. Tatizo ni pale ambapo biashara itakuwa yenye madhara na isiyotambulika. Ama wakiwa wamedhibitiwa na wako mahali ambapo wanaweza kuangaliwa, basi haina neno.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (27)
Imechapishwa: 17/04/2021
https://firqatunnajia.com/biashara-ya-samaki-wa-urembo-kwenye-tanki/
Mshirikishe mwenzako:
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Print (Opens in new window) Print
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Pocket (Opens in new window) Pocket