Swali: Je, inafaa kupiga bastola siku ya ´iyd. Hiyo ni miongoni mwa desturi zetu huku kwetu?

Jibu: Jambo hili lina khatari. Haitakikni kufanya hivo.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (22)
  • Imechapishwa: 09/10/2021