Barua zake Mtume katika makumbusho

Swali: Baadhi ya barua ambazo Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliziagiza mikoani zinapatikana katika baadhi ya makumbusho. Je, zina usahihi wowote?

Jibu: Sijui. Zisitegemewe isipokuwa kukipatikana mwanachuoni aliyezitaja katika maimamu wa Hadiyth.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23463/%D9%87%D9%84-%D8%AA%D9%88%D8%AC%D8%AF-%D9%83%D8%AA%D8%A8-%D9%85%D9%85%D8%A7-%D8%A7%D8%B1%D8%B3%D9%84-%D8%A7%D9%84%D9%86%D8%A8%D9%8A-%EF%B7%BA
  • Imechapishwa: 26/01/2024