Swali: Inajuzu kwa anayehirimia kuvaa barakoa kwa ajili ya kujikinga na maradhi?
Jibu: Hakuna neno muda wa kuwa hafuniki kichwa chake. Kufunika mdomo tu hakuna neno.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (21) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-13-2-1435-01.mp3
- Imechapishwa: 31/01/2020
Swali: Inajuzu kwa anayehirimia kuvaa barakoa kwa ajili ya kujikinga na maradhi?
Jibu: Hakuna neno muda wa kuwa hafuniki kichwa chake. Kufunika mdomo tu hakuna neno.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (21) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-13-2-1435-01.mp3
Imechapishwa: 31/01/2020
https://firqatunnajia.com/barakoa-wakati-wa-ihraam/