Babu pia anatakiwa kuwafanyia uadilifu wajukuu zake

Swali: Je, anaingia pia babu kwa wajukuu zake?

Jibu: Wote ni watoto wake. Anapaswa kuwafanyia uadilifu hata watoto wa wanawe.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24453/هل-يدخل-الجد-في-الامر-بالعدل-بين-الاولاد
  • Imechapishwa: 12/10/2024