Nikamtembelee mgonjwa hospitali ikiwa kuna maovu?

Swali: Ikiwa anaenda hospitali kumtembelea mgonjwa na huko kuna maovu asiyoweza kuyakemea. Je, inafaa kwake kwenda?

Jibu: Amwendee na ayakemee kulingana na uwezo wake.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24450/حكم-الذهاب-لمكان-به-منكر-لا-يستطيع-انكاره
  • Imechapishwa: 12/10/2024