Swali: Mimi umri wangu ni miaka 33. Ninataka kuoa ila baba yangu ananikataza hilo kwa hoja ya kwamba mimi nafanya baadhi ya maasi kama kuacha swalah na mengineyo. Je, nimkhalifu kwa hilo?
Jibu: Ni lazima kwake kutubu kwa Allaah. Hata kama baba yake hakumwambia kitu, ni juu yake kutubu kwa Allaah na kumcha Allaah (´Azza wa Jall) na kuhifadhi swalah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ls–14330811.mp3
- Imechapishwa: 06/10/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket