Baba hataki kumuozesha binti yake kwa mujaahid

Swali: Je, inajuzu kwa walii kumrudisha mposaji kwa sababu tu hawataki [binti yao] aende Jihaad Afghanistan. Ama kuhusu mwanamke, amekubali hilo.

Jibu: Hapana, haijuzu ikiwa mwanamke amekubali hilo.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Silsilat-ul-Hudaa wan-Nuur (345)
  • Imechapishwa: 22/09/2020