Swali: Baba yangu anazungumza na mimi kwa ukali, ananipiga na ananitishia kuniua ambapo mume wangu ananikataza kumtembelea ili kunilinda naye. Je, nimtii na nikate mawasiliano naye au niendelee kuwa na mawasiliano naye?
Jibu: Ikiwa kweli mambo ni kama ulivyosema na anakuudhi na anakutia khatarini, basi usiende kwake.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (31) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathyl%20majd%20-%2026%20-%2010%20-%201436.mp3
- Imechapishwa: 29/09/2020
Swali: Baba yangu anazungumza na mimi kwa ukali, ananipiga na ananitishia kuniua ambapo mume wangu ananikataza kumtembelea ili kunilinda naye. Je, nimtii na nikate mawasiliano naye au niendelee kuwa na mawasiliano naye?
Jibu: Ikiwa kweli mambo ni kama ulivyosema na anakuudhi na anakutia khatarini, basi usiende kwake.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (31) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathyl%20majd%20-%2026%20-%2010%20-%201436.mp3
Imechapishwa: 29/09/2020
https://firqatunnajia.com/baba-anampiga-msichana-anamtishia-maisha/