Swali: Ni sahihi na ni kulingania katika dini ya Allaah muislamu akaadhini kati ya washirikina ijapokuwa sio wakati wa swalah?

Jibu: Hapana. Sio kulingania katika dini ya Allaah. Adhaana ni kwa ajili ya swalah na sio kwa sababu ya Da´wah. Adhaana ni kwa ajili ya swalah, inatambulisha kuingia kwa wakati. Haikuwekwa katika dini sababu ya Da´wah

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (31) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathyl%20majd%20-%2026%20-%2010%20-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 29/09/2020