Swali: Je, wali wa msichana ana haki ya kuchukua katika mahari ya msichana?
Jibu: Baba ana haki ya kuchukua katika mali ya msichana, ikiwemo mahari, kwa sharti kwamba asimdhuru msichana huyo wala asimsababishie madhara. Dalili ya hilo ni maneno yake Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliyesema:
”Wewe na mali yako ni milki ya baba yako.”
”Hakika watoto wenu ni katika kile mlichokichuma na hakika kilicho bora zaidi mlichokila ni kutokana na kile mlichokichuma.”
Kwa hivyo anayo haki ya kuchukua kutoka katika mahari na katika mali ya mwanawe, ilimradi asimdhuru mtoto.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1633/حكم-اخذ-الاب-من-مهر-ابنته
- Imechapishwa: 28/06/2026
Swali: Je, wali wa msichana ana haki ya kuchukua katika mahari ya msichana?
Jibu: Baba ana haki ya kuchukua katika mali ya msichana, ikiwemo mahari, kwa sharti kwamba asimdhuru msichana huyo wala asimsababishie madhara. Dalili ya hilo ni maneno yake Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliyesema:
”Wewe na mali yako ni milki ya baba yako.”
”Hakika watoto wenu ni katika kile mlichokichuma na hakika kilicho bora zaidi mlichokila ni kutokana na kile mlichokichuma.”
Kwa hivyo anayo haki ya kuchukua kutoka katika mahari na katika mali ya mwanawe, ilimradi asimdhuru mtoto.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1633/حكم-اخذ-الاب-من-مهر-ابنته
Imechapishwa: 28/06/2026
https://firqatunnajia.com/baba-anakula-mahari-ya-msichana-wake/