Swali: Mtu akiingia kwenye swalah ya faradhi kisha akakumbuka kuwa hakuswali swalah ya faradhi ya kabla yake. Je, akamilishe swalah aliyonuia hivi sasa na atapomaliza aswali iliyompita?
Jibu: Ainuie ya sunnah. Anuie aliyomo kuwa ya sunnah na aikamilishe. Kisha atapotoa salamu aswali iliyompita. Halafu baada ya hapo aswali swalah ya wakati huo.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (60) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-01-28.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Swali: Mtu akiingia kwenye swalah ya faradhi kisha akakumbuka kuwa hakuswali swalah ya faradhi ya kabla yake. Je, akamilishe swalah aliyonuia hivi sasa na atapomaliza aswali iliyompita?
Jibu: Ainuie ya sunnah. Anuie aliyomo kuwa ya sunnah na aikamilishe. Kisha atapotoa salamu aswali iliyompita. Halafu baada ya hapo aswali swalah ya wakati huo.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (60) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-01-28.mp3
Imechapishwa: 21/08/2020
https://firqatunnajia.com/baada-ya-kuingia-katika-swalah-amekumbuka-hajaswali-ya-kabla-yake/