Swali 583: Ni ipi hukumu ya mtu anayefunga ndoa ya muda?

Jibu: Atatekelezewa adhabu ya kuzini. Maoni tofauti hayana athari yoyote mpaka idondoke kutoka kwake adhabu.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 203
  • Imechapishwa: 10/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´