Swali: Ambaye haswali aamrishwe kufunga?
Jibu: Hapana. Swawm yake haisihi mpaka kwanza aswali. Swalah ni muhimu zaidi kuliko swawm. Matendo ya asiyeswali hayasihi. Hakuna kinachokubalika kutoka kwake mpaka aswali na ahifadhi swalah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (18) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdtfq-15011435-01.mp3
- Imechapishwa: 18/11/2019
Swali: Ambaye haswali aamrishwe kufunga?
Jibu: Hapana. Swawm yake haisihi mpaka kwanza aswali. Swalah ni muhimu zaidi kuliko swawm. Matendo ya asiyeswali hayasihi. Hakuna kinachokubalika kutoka kwake mpaka aswali na ahifadhi swalah.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (18) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdtfq-15011435-01.mp3
Imechapishwa: 18/11/2019
https://firqatunnajia.com/asiyeswali-aamrishwe-kufunga/