Swali: Ambaye haswali aamrishwe kufunga?

Jibu: Hapana. Swawm yake haisihi mpaka kwanza aswali. Swalah ni muhimu zaidi kuliko swawm. Matendo ya asiyeswali hayasihi. Hakuna kinachokubalika kutoka kwake mpaka aswali na ahifadhi swalah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (18) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdtfq-15011435-01.mp3
  • Imechapishwa: 18/11/2019