Swali: Baadhi ya waandishi wanasema:
“Ashaa´irah ni pote lililo karibu zaidi na Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah” pamoja na kwenda kwao kinyume katika mambo mengi. Je, msemo huu ni sahihi?
Jibu: Huku ni kuwavimbisha kichwa. Haifai kusema hivi. Haifai kusema kuwa wao ndio wako karibu. Kwa kuwa hili linawavimbisha kichwa ilihali wako na makosa mengi. Mtu asisemi maneno haya.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (08) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_08.mp3
Swali: Baadhi ya waandishi wanasema:
“Ashaa´irah ni pote lililo karibu zaidi na Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah” pamoja na kwenda kwao kinyume katika mambo mengi. Je, msemo huu ni sahihi?
Jibu: Huku ni kuwavimbisha kichwa. Haifai kusema hivi. Haifai kusema kuwa wao ndio wako karibu. Kwa kuwa hili linawavimbisha kichwa ilihali wako na makosa mengi. Mtu asisemi maneno haya.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (08) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_08.mp3
https://firqatunnajia.com/ashaairah-ni-pote-lililo-karibu-zaidi-na-ahl-us-sunnah-2/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)