Swali: Baadhi ya watu wanawatuhumu wale wenye kushikamana na mfumo wa Salaf ya kwamba ni ”Jaamiy” na wanamtahadharisha Shaykh Rabiy´, Shaykh Ahmad an-Najmiy, Shaykh Zayd bin Muhammad bin Haadiy al-Madkhaliy  na wanazuoni wengine.

Jibu: Majina bandia hayabadilishi kitu. Si sawa kuwapa watu majina bandia. Muhimu ni ile nafasi ya mtu. Tunajua kuwa wanazuoni wana ´Aqiydah iliyosalimika na ni katika Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah; Shaykh Rabiy´, Shaykh Ahmad na Shaykh Zayd. Hakuna jambo la kutatiza juu yao.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=oYYzgJJTtKY
  • Imechapishwa: 11/11/2022