Amesahau kuleta Dhikr ya kwenye Sujuud

Swali: Mtu huyu alikuwa akiswali swalah ya mkusanyiko na imamu aliposujudu akajiliwa na wasiwasi mkubwa ambapo akaomba kinga kwa Allaah dhidi ya shaytwaan mara nyingi mpaka akasahau kuleta Tasbiyh iliyozoeleka mpaka imamu akainuka.

Jibu: Maadamu amesahau na ni mjinga hakuna kinachomlazimu.

Swali: Je, Rak´ah yake hiyo ni sahihi?

Jibu: Ndio, kwa sababu ya ujinga na kusahau.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22208/حكم-من-جاءه-وسواس-بالصلاة-فلم-يسبح
  • Imechapishwa: 11/11/2022