Swali: Baadhi ya watu wanawatuhumu wale wenye kushikamana na mfumo wa Salaf ya kwamba ni ”Jaamiy” na wanamtahadharisha Shaykh Rabiy´, Shaykh Ahmad an-Najmiy, Shaykh Zayd bin Muhammad bin Haadiy al-Madkhaliy na wanazuoni wengine.
Jibu: Majina bandia hayabadilishi kitu. Si sawa kuwapa watu majina bandia. Muhimu ni ile nafasi ya mtu. Tunajua kuwa wanazuoni wana ´Aqiydah iliyosalimika na ni katika Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah; Shaykh Rabiy´, Shaykh Ahmad na Shaykh Zayd. Hakuna jambo la kutatiza juu yao.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=oYYzgJJTtKY
- Imechapishwa: 11/11/2022
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)