Swali: Afanyiwe ´Aqiyqah mtoto ambaye ametoka akiwa maiti akiwa na miezi nane?
Jibu: Ikibainika kuwa ana umbile la mtu basi ni mwanaadamu. Hivyo atatakiwa aswaliwe, apewe jina na afanyiwe ´Aqiyqah.
- Muhusika: Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (05) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191110#219240
- Imechapishwa: 20/10/2018
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket
Related
Mtoto akibadilishwa jina ni lazima afanyiwe ´Aqiyqah?
Swali: Wakati mtu anapombadilisha mtoto wake jina la zamani na kumpa la sasa ni wajibu kumfanyia ´Aqiyqah? Jibu: Hapana. Hili ni kwa ´Awwaam ambao wanasema ukibadilisha jina unatakiwa kuchinja mnyama. Wanachotaka ni nyama! Hili halina asli.
In "´Aqiyqah"
´Aqiyqah kwa mtoto aliyetoka maiti
Swali: Mtoto anafanyiwa ´Aqiyqah akizaliwa maiti? Jibu: Ndio. Ikiwa kipomoko kimeshafikisha miezi isiyopungua minne, basi imependekezwa kumfanyia ´Aqiyqah hata kama ameshakufa.
In "Vidhibiti vya ´Aqiyqah"
Siku za kufanya ´Aqiyqah
Swali: Inafaa kumchinjia mtoto kichinjwa katika siku mbali na tarehe saba, tarehe kumi na nne au ishirini na moja? Imeshurutishwa iwe katika masiku yasiyogawanyika? Ni lipi bora kuchinja na kuigawanya au kutengeneza chakula na kualika watu? Jibu: Sunnah ni kufanya ´Aqiyqah katika ile siku ya saba[1] kutokana na yaliyothibiti ya…
In "´Aqiyqah"