Swali: Kuna ambao wanataka kuleta ukaribu baina ya Salafiyyah na Ashaa´irah na kusema kuwa tofauti zao ni za kimaana tu. Je, ni sahihi?
Jibu: Hapana. Tofauti sio za kimaana. Tofauti ni za kugongana. ´Aqiydah ya Ashaa´irah sio ya Salaf kabisa. Vipi basi itakuwa ni ya kimaana tu?
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (32) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majid%20%20-%203-11-%201436.mp3
- Imechapishwa: 12/02/2017
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket