Swali: Murji-ah wanasema:

”Hakuna dhambi inayodhuru pamoja na imani?”

Jibu: Hizi ni I´tiqaad batili katika hali zote. Lakini zinamtoa mtu nje ya Uislamu? Hili ndilo linalohitaji utafiti. Venginevyo maneno yao ni batili.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25080/ما-صحة-وحكم-قول-لا-يضر-مع-الايمان-ذنب
  • Imechapishwa: 31/01/2025