Swali: Mtu aliyeamini kwa moyo wake na ulimi wake lakini hakufanya matendo kwa viungo vyake?

Jibu: Hapa kuna makinzano kwa wanazuoni. Yule anayesema kuwa kuacha swalah ni ukafiri, anaona kuwa atadumishwa milele Motoni. Na yule mwenye kuona kuwa ni ukafiri mdogo, basi hukumu yake ni kama hukumu ya madhambi mengine makubwa. Kwa msemo mwingine Allaah ndiye ataamua nini cha kumfanya.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25081/حكم-من-امن-بقلبه-ولسانه-ولم-يعمل-بجوارحه
  • Imechapishwa: 31/01/2025