Swali: Malengo ya kutia nia wakati wa kutawadha kunakusudiwa kwamba mtu anuie kuswali swalah maalum?
Jibu: Hapana, sio lazima unuie swalah maalum. Tawadha kwa ajili ya kuondosha hadathi, sawa ikiwa utaswali au hautoswali.
Swali: Nikitawadha kwa nia ya kuswali swalah moja kisha kwa wudhuu´ huo huo nikaswali swalah tano ni sawa?
Jibu: Unaweza hata ukaswali nao swalah mia. Haina neno. Ukiondosha hadathi na wudhuu´ bado umebaki na haujatenguka swali upendavyo.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (04) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340323.mp3
- Imechapishwa: 25/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)