Swali: Nimetakharuji katika chuo kikuu cha nchi hii. Unaninasihi nini pamoja na kuzingatia ya kwamba nimehudhuria darsa zako kwa miaka nne na hivi nataka kusafiri kurudi katika mji wangu?
Jibu: Namnasihi kumcha Allaah (´Azza wa Jall), ueneze elimu na Da´wah kwa watu wa nchi yako. Itakuwa ni kheri kubwa kwako na kwao endapo Allaah (Ta´ala) atapenda hilo.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (35) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighasah%20%20-%2017-%2010-1436.mp3
- Imechapishwa: 12/02/2017
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)