Anasoma du´aa hii wakati usiyokuwa wa mtihani

Swali 675: Vipi iwapo mtu wakati  usiyokuwa wa balaa na mtihani atasema:

اللَّهُمَّ أَحْيِنِي مَا كَانَتْ الْحَيَاةُ خَيْرًا لِي، وَتَوَفَّنِي إِذَا كَانَتْ الْوَفَاةُ خَيْرًا لِي

“Ee Allaah! Nibakize kuwa hai ikiwa uhai ni kheri kwangu na nifishe ikiwa kufa ni kheri kwangu.”[1]?

Jibu: Yote ni mazuri. Hapana vibaya.

[1] al-Bukhaariy (6351) na Muslim (2680).

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 243
  • Imechapishwa: 27/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´