Anapozikwa mchawi anaposimamishiwa adhabu ya kidini

Swali: Pindi mchawi anaposimamishiwa adhabu ya kidini anazikwa pamoja na waislamu?

Jibu: Hapana. Mchawi anazikwa pamoja na makafiri. Sio katika waislamu. Mchawi ni kafiri.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22018/اين-يدفن-الساحر-اذا-اقيم-عليه-الحد
  • Imechapishwa: 16/10/2022