Swali: Mtu ana leseni ya kuendesha gari iliyokwisha muda wake tangu mwaka mmoja. Wizara ya mambo ya ndani imeweka faini kwa anayochelewa kubadilisha, lakini yeye alimpa mtu anayemjua ili amsaidie kuondolewa au kupunguziwa faini. Je, hili linajuzu kwa mujibu wa Shari´ah?
Jibu: Ikiwa jambo hilo linafanyika kwa njia ya uongo au khiyana, basi halijuzu. Ama ikiwa linafanyika kwa njia rasmi kupitia wahusika wenye mamlaka na wana utaratibu wa kupunguzia baadhi ya watu kama masikini au wengineo, basi hilo ni jambo jingine na halina tatizo. Lakini kufanyika kwa njia ya uongo na udanganyifu hakujuzu, kwani watu wote wako sawa katika hili.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/3215/مراعاة-قوانين-النظام-في-المعاملات-المرورية-وغيرها
- Imechapishwa: 02/08/2026
Swali: Mtu ana leseni ya kuendesha gari iliyokwisha muda wake tangu mwaka mmoja. Wizara ya mambo ya ndani imeweka faini kwa anayochelewa kubadilisha, lakini yeye alimpa mtu anayemjua ili amsaidie kuondolewa au kupunguziwa faini. Je, hili linajuzu kwa mujibu wa Shari´ah?
Jibu: Ikiwa jambo hilo linafanyika kwa njia ya uongo au khiyana, basi halijuzu. Ama ikiwa linafanyika kwa njia rasmi kupitia wahusika wenye mamlaka na wana utaratibu wa kupunguzia baadhi ya watu kama masikini au wengineo, basi hilo ni jambo jingine na halina tatizo. Lakini kufanyika kwa njia ya uongo na udanganyifu hakujuzu, kwani watu wote wako sawa katika hili.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/3215/مراعاة-قوانين-النظام-في-المعاملات-المرورية-وغيرها
Imechapishwa: 02/08/2026
https://firqatunnajia.com/anapatana-na-mamlaka-yampuguzie-bei-ya-faini-aliyopigwa/