Swali: Je, mtu anapata dhambi linapomwanguka tonge akaacha kuliokota?
Jibu: Bora aliokote na aondoshe ule uchafu uliopata na alile kwa ajili ya kumfedhehesha shaytwaan
Swali: Anapata dhambi asipoliokota?
Jibu: Inawezekana – na Allaah ndiye mjuzi zaidi.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22346/هل-ياثم-من-لا-ياخذ-اللقمة-اذا-سقطت
- Imechapishwa: 17/02/2023