Swali: Kuna mchawi ametubu kwa kazi yake ya uchawi, lakini hata hivyo anafanya mihadhara ambapo anafafanua namna alivyojifunza uchawi na nini alichokuwa anafanya kwa ufafanuzi. Je, inajuzu kueneza mihadhara kama hii?
Jibu: Huyu anafunza uchawi. Ikiwa anafafanua namna alivyojifunza uchawi ina maana ya kwamba anafunza njia ya kufanya uchawi. Haijuzu akaachwa. Anatakiwa kukatazwa.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (28) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2140
- Imechapishwa: 12/07/2020
Swali: Kuna mchawi ametubu kwa kazi yake ya uchawi, lakini hata hivyo anafanya mihadhara ambapo anafafanua namna alivyojifunza uchawi na nini alichokuwa anafanya kwa ufafanuzi. Je, inajuzu kueneza mihadhara kama hii?
Jibu: Huyu anafunza uchawi. Ikiwa anafafanua namna alivyojifunza uchawi ina maana ya kwamba anafunza njia ya kufanya uchawi. Haijuzu akaachwa. Anatakiwa kukatazwa.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (28) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2140
Imechapishwa: 12/07/2020
https://firqatunnajia.com/anaonyesha-namna-ya-uchawi-baada-ya-kutubu/